Bei ya mafuta inarajiwa kupanda zaidi nchini iwapo vita kati ya Israel na Hamas vitaendelea, Waziri wa Nishati na Petroli Davis Chirchir alisema. Ripota wetu Austin Mirambo ametuandalia mkusanyiko wa habari za Biashara.
https://art19.com/shows/mwenge-wa-biashara/episodes/10718cd5-a069-46a3-b592-d0b6f0d077de