Bandari ya Kenya kufutilia mbali malipo ya pesa taslimu

Dismas Otuke
0 Min Read

Waagizaji mizigo kupitia bandari ya Mombasa watapata afueni baada ya serikali kutangaza kuanzisha matumizi ya pesa kieletroniki .

Mfumo huo pia utasaidia kuondoa malipo ya ziada kwa wafanyibiashara ambao shehena zao za mizigo inakawia katika bandari ya Mombasa, wakati wa kusibiri kuidhinishwa kwa malipo.

Kenya inajiunga na Tanzania ambayo ilianzisha mfumo wa malipo ya kieletroniki bandarini mwaka 2020.

Share This Article