Baadhi ya wananchi wapuuza amri ya kutotoka nje na kuandamana usiku Kucha, Tanzania

Dismas Otuke
1 Min Read

Baadhi ya raia nchini Tanzania walikaidi amri ya Jesh la Polisi ya
kutotoka nje Jumatano baada ya uchaguzi mkuu hususan katika jiji kuu la
Dar es Salaam.

Hatua hiyo iliyotangazwa na Msemaji Mkuu wa Polisi ililenga kuzima maandamano yaliyoshuhudiwa mchana kutwa siku ya upigaji kura.

Uchaguzi Mkuu nchini Tanzania ulishuhudia idadi ndogo ya wapigaji kura huku vijana wakikabiliana vikali na polisi, wakiteketeza magari, vituo vya mafuta na kusababisha uharibifu mkubwa wa mali.

Website |  + posts
Share This Article