Australia yajiondoa kuandaa michezo ya Jumuiya ya Madola mwaka 2026

Dismas Otuke
1 Min Read

Australia imejiondoa kuandaa michezo ya Jumuiya ya Madola ya mwaka 2026 kutokana na uchechefu wa pesa.

Shirikisho la Michezo la Jumuiya ya Madola, CGF limekuwa liking’ang’ana kupata mwandalizi kabla ya mji wa Victoria nchini Australia kujitolea kuwa mwandalizi.

Michezo ya jumuiya huandaliwa kila baada ya miaka minne na imeahirishwa mara mbili pekee wakati wa Vita Vikuu vya Pili vya Dunia na kwa kawaida hushirikisha mataifa 56 yaliyotawaliwa na Uingereza.

Share This Article
Leave a Comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *