AU yaomba utulivu kati ya Somalia na Ethiopia kuepusha mzozo

Dismas Otuke
1 Min Read

Mwenyekiti wa Muungano wa Afrika AU Moussa Faki Mahamat,ameomba kuwa na utulivu na na makubaliano katikameneo la Somaliland na Ethiopia.

Faki ameelezea haja ya dharura ya kuzuia mzozo unaotokota kati ya mataifa Ethiopia ,na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

Mwenyekiti huyo ameyataka mataifa ya Somalialanda na Ethiopia kujiepusha na vitendo vitalavyosababisha kudorora lwa amani .

Faki ametaka nchini hizo kujadiliana na kuzingatia sheria za mataifa jirani.ili kudumisha amani.

Mwenyekiti huyo amesisitiza kuwa AU itaendelea kuunga mkono sululuhisho la Kiafrika kwa changamoto zinazokabili mataifa ya Afrika.

Website |  + posts
Share This Article