Youth Olympic Games:Vipusa wa Kenya wa raga watamba Dakar

Kenya almaarufu Rising Lionesses,  waliwacharaza wenyeji Senegal alama 19-0, katika mchuano wa pili wa kundi A ,siku ya Jumatatu.

Dismas Otuke
1 Min Read
DAKAR, SENEGAL – 02 November 2026: Kenya’s Josphine Kerubo (red shirt) breaks to score the first try in Kenya’s rugby 7s match against Senegal in the women’s rugby 7s tournament during the Dakar 2026 Youth Olympic Games at Complexe Iba Mar Diop on 02 November 2026 in Dakar, Senegal. (Photo by Daudi Were/National Olympic Committee of Kenya).

Timu ya Kenya ya raga kwa wasichana imeendeleza msururu wa matokeo bora katika siku ya tatu ya makala ya nne ya michezo ya Olimpiki kwa chipukizi mjini Dakar,Senegal.

Kenya almaarufu Rising Lionesses,  waliwacharaza wenyeji Senegal alama 19-0, katika mchuano wa pili wa kundi A ,siku ya Jumatatu.

Awali Kenya walikuwa wameikomoa  Uchina pointi 12-of 5 katika pambano la ufunguzi.

Kenya inawakilishwa na jumla ya wanamichezo 53 katika mashindano hayo yanayoshirikisha mataifa 205, kutoka kote duniani yakiandaliwa Afrika kwa mara ya kwanza.

Share This Article