Mwigulu amtaka Mndarasi kukamilisha uwanja wa Arusha kwa wakati ili kuandaa AFCON

Dismas Otuke
1 Min Read

Waziri Mkuu wa Tanzania Dkt Mwigulu Nchemba amemshurutisha Mkandarasi anayejenga uwanja wa Arusha kuukamilisha kwa wakati ufaao,ili utumike kwa kipute cha mataifa ya Afrika AFCON mwaka ujao.

Akizungumza punde baada ya kupokea ripoti  za ujenzi wa uga huo,Dkt Mwigulu amemtaka Mkandarasi kukamilisha ujenzi kw awakati na pia kuzingatia viwango vya kimataifa.

Tanzania itaandaa AFCON mwaka ujao pamoja na Kenya na Uganda na itatumia viwanja vya Benjamin Mkapa,Amaani na ule wa Fumba kisiwani Unguja  pamoja na ule wa Arusha.

Share This Article