KCB waibwaga  ARS ya Ushelisheli

Dismas Otuke
0 Min Read

Klabu ya KCB  imeilkaza ARS kutoka Ushelisheli seti tatu kwa nunge katika mchuano  kuwania kombe la Afrika kwa wanawake jijini Cairo,Misri.

KCB walipata ushindi kwa seti za 25-9, 25-14, na  25-17 .

Ushindi huo ulikuwa wa pili kwa KCB kundini D, baada ya awali kuilemea VPC kutoka Nigeria jana.

TAGGED:
Share This Article