Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Klabu ya KCB imeilkaza ARS kutoka Ushelisheli seti tatu kwa nunge katika mchuano kuwania kombe la Afrika kwa wanawake jijini Cairo,Misri. KCB walipata ushindi kwa seti za 25-9, 25-14, na…