Ruto amteua Kepha Nyamweya Omae kuwa Mwenyekiti wa NCIC

Dismas Otuke
0 Min Read

Rais William Ruto amemteua Kepha Nyamweya Omae, kuwa Mwenyekiti mpya wa tume ya kitaifa ya uwiano na maridhiano ya kitaifa NCIC.

Wanachama wa tume hiyo ni pamoja na Josephine Kirion Eragae,Joseph Nguyo,Jackson Kedogo,Dkt Samuel Mwachio Mwawasi,Irene Chepoisho,Hassan Billow na Jerusah Mwathime.

Mwenyekiti huyo na wanachama wa NCIC, wataidhinishwa na bunge la kitaifa kabla ya kuanza kuhudumu.

Share This Article