Gavana wa kaunti ya Nakuru Susan Kihika yuko kwenye likizo ya uzazi.
Kulingana na Mkuu wa Wafanyakazi wa kaunti hiyo Dkt. Peter Ketyenya, Kihika atarejea wiki chache zilizopita.
Kwa kipindi ambacho hayupo, Naibu Gavana David Kones ndiye anayesimamia shughuli za kaunti hiyo.
Gavana Kihika ametoa hakikisho la huduma za kaunti kuendelea bila tashwishwi akieleza imani katika na naibu wake kusimama shughuli za kaunti.
Gavana Kihika hajaonekana hadharani kwa muda mrefu hali ambayo imezua tumbo joto miongoni mwa wakazi