Ruto kuanzisha mashindano ya WRC Safari Rally Kenya

Dismas Otuke
0 Min Read

Rais William Ruto leo Alhamisi anatarajiwa kuanzisha makala ya mwaka huu ya mashindano ya WRC Safari Rally Kenya nje ya Jumba la Charter, muda mfupi kabla ya saa sita adhuhuri.

Jumla ya magari 37 yaliyojisajili yataelekea Kasarani kwa kituo cha kwanza cha mashindano saa saba hadi saa nane, kabla ya kuekelea Naivasha.

Magari hayo yatashindana baina ya kesho Ijumaa na Jumapili mjini Naivasha.

Website |  + posts
Share This Article