Matukio ya Taifa: Afisa wa Polisi auawa na watu wasiojulikana Rarienda

radiotaifa
0 Min Read

Afisa mmoja wa polisi ameuwawa kwa kupigwa kwa Bastola huku mwenzake akiponea chupu chupu na majeraha mwilini baada ya kuvamiwa na Watu wasiojulikana wakati walipokuwa wakijaribu kukamata muuzaji mmoja wa pombe haramu eneo la Ndori Kaunti ndogo ya Rarieda 

https://art19.com/shows/matukio-ya-taifa/episodes/dd3ba270-3475-44a8-bc99-b854eb9ca449

Share This Article