Jitegemee: Nafasi ya wanaume katika kutetea haki za wanawake ni gani?

radiotaifa
0 Min Read

Jamii inapopigia debe usawa wa kijinsia, wanaume wana nafasi gani katika kutetea haki za wanawake? Ndio baadhi ya maswali ila katika makala haya, Bi. EstherAmati ambaye ni mtaalam wa masuala ya maendeleo ya wanawake anafafanua jinsi ya kusaidia wanawake kuimarika katika sekta ya biashara na uongozi.

https://art19.com/shows/taarifa/episodes/5141dc18-21a0-40c9-87dd-cf67311a472d

Share This Article