Dunia Wiki Hii : Mahakama ya Hague yaandaa vikao kusikiliza kesi iliyowasilishwa na Afrika kusini dhidi ya Israel

radiotaifa
0 Min Read

Kwenye kikao hicho kilichofanyika katika majengo ya mahakama hiyo mjini Hague, upande wa Afrika kusini uliishtumu Israel ulizungumzia mauaji maksudi yahalaiki dhidi ya wapalestina katika ukanda wa Gaza ukitaja ripoti na takwimu kutoka kwa umoja wa mataifa na mashirika mengine ya kimataifa na kuwasilisha ushahidi wa video. 

https://art19.com/shows/taarifa/episodes/91d64ddf-b48a-4387-b928-0685e822a904

 

nduguseliphaz@gmail.com | Website |  + posts
TAGGED:
Share This Article