Asilimia 50 ya wanafunzi waliofanya mtihani wa kidato cha nne mwaka jana walikosa kusajili matokeo yakuridhisha huku wengi wao wakipata alama ya kati ya D na E kulingana na matokeo yaliyotangazwa leo
https://art19.com/shows/matukio-ya-taifa/episodes/a534e026-0268-4328-b027-84f917316d5d