Pepea Mashariki: Kongamano la Takwimu za Afya lafikia kikomo, Rwanda

radiotaifa
0 Min Read

Jumuiya ya Afrika Mashariki, Bunge la Afrika Mashariki na Pan African Health Informatics Association wamehitimisha kongamano la siku mbili kuhusu takwimu za afya ambalo lilikuwa likiendelea mjini Kigali, Rwanda.

https://art19.com/shows/taarifa/episodes/bb3d4777-3b3c-4e39-b46c-9ddc3f73887d

Share This Article