Kulingana na Victor Muchiri kutoka kampuni ya kutoa mikopo kupitia njia ya dijitali ya Tala, mfumo huu wa kukopesha fedha umerahisisha mengi na kuinua maisha ya wanabiashara wadogowadogo.
https://art19.com/shows/zinga/episodes/c191e684-42ac-4047-8254-f9a108f9c678