Kenya imeanza kutambua mashujaa wake humu nchini katika miaka iliyopita, ilibuni baraza la kutambua mashujaa haya lakini ni nani anayeafiki vigezo vya kuwa shujaa na kwanini tunasherehekea siku ya mashujaa ?
https://art19.com/shows/zinga/episodes/aea9781b-6b56-4b86-9b3e-7ebca7399509