Zinga: Serikali imejitolea kuwalinda wakenya dhidi ya majanga asema Mwanaisha Chidzuga

Francis Ngala
0 Min Read

Naibu msemaji wa serikali Mwanaisha Chidzuga amesema serikali ya Rais William Ruto imejitolea kuhakikisha wakenya wanalindwa kutokana na majanga hasa mafuriko.

Akiongea na Radio Taifa, Chidzunga amesema serikali imeweka mikakati mbali mbali kando na kuwahamisha wakenya na kuwapa makao wakenya walioathirika na mafuriko, serikali pia inatoa fedha kwa waathiriwa. Aidha amewasihi wakenya na mashirika mbali mbali kuungana ili kusaidia wakenya zaidi.

https://art19.com/shows/zinga/episodes/c97527c4-4cb8-433c-81ea-532be1652440

Share This Article
Follow:
I am Versatile Multimedia Journalist with years of experience in Digital platforms, Live TV and Radio. In another world am a News Anchor and Reporter.