Mbunge wa Bomachoge Borabu Obadiah Barongo amesema uwiano wa taifa hili ni muhimu katika kuendeleza na kuimarisha uchumi wake.
https://art19.com/shows/zinga/episodes/7db33cff-a29d-4b96-8937-53c2877b0c9c
Akiongea hii leo na Radio Taifa, Barongo amesisitiza nia ya kuwepo kwa mazungumzo baina ya serikali na upinzani ili kukwamua taifa hili kiuchumi huku akipinga matamshi ya viongozi wa serikali wanaosema Raila Odinga anataka kuingia serikalini kupitia mlango wa nyuma.