Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Nairobi Andrew Watuha amesema mapendekezo ya Jopo la Rais kuhusu Mageuzi ya Elimu Nchini (PWPER) ni bora kwa kizazi hiki ikiwa kila anayehusika atawajibika.
Mapendekezo yaliyo katika ripoti hiyo ni pamoja na serikali kuanza kuwafadhili wanafunzi wanaojiunga na shule ya chekechea, kutokana na mahitaji mengi ya Mfumo wa Elimu ya Umilisi (CBC).
https://art19.com/shows/zinga/episodes/f266fc63-cfd0-4130-ba7e-102b7f599565