Zinga: Kwa nini pendekezo la kuzuia magavana wasigombee viti vya siasa halitafaulu?

radiotaifa
0 Min Read
Seneta Chimera Mwinzagu ambaye anapendekeza magavana wazuiliwe kugombea viti vingine vya siasa.

Mchambuzi wa masuala ya siasa Martin Andati anasema kuwa pendekezo la seneta mteule Chimera Mwinzagu la kuwazuia magavana waliohudumu katika wadhifa huo kutogombea tena viti vya kisiasa halitafua dafu.

Kulingana na Andati, pendekezo hilo litakuwa linakiuka haki zao za kikatiba.

https://art19.com/shows/zinga/episodes/a4aca57b-d158-43f1-9eda-2bca4f0ddaa6

TAGGED:
Share This Article