Kulingana na Dkt. Hassan Mwakimako ambaye ni mmoja wa wanachama wa jopokazi lililoteuliwa na Rais kuangazia masuala ibuka katika marekebisho ya CBC, marekebisho katika sekta na mifumo ya elimu ni jambo la kawaida.
https://art19.com/shows/zinga/episodes/94c23780-e3cc-4fef-b90c-4bb4a7b8e63d