Watoto zaidi ya 12 waliuawa katika hospitali ya Al Shifa katika Ukanda wa Gaza kufuatia shambulizi jipya la majeshi ya Israel.
Majeshi ya Israel yalitekeleza mashambulizi kwa siku ya 37 mtawalia katika Ukanda wa Gaza.
Takriban watu 15,000 wameuawa katika ukanda huo tangu majeshi ya Israel yalipoanzisha mashambulizi na zaidi ya 30,000 kuachwa bila makao.
Wengi wa watoto waliofariki ni wachanga waliokuwa kwenye mashine maalum.