Wiseman Were Mukhobe amefuzu kwa nusu fainali ya mita 400 kuruka viunzi mapema Jumatatu, katika michezo ya Olimpiki ya Paris Ufaransa.
Were amejikatia tiketi baada ya kumaliza wa nne katika mchujo akitimka kwa sekunde 48.58, na kufuzu kama mmoja wa wanariadha wenye kasi.
Nusu fainali ya shindano hilo itaandaliwa Jumatano hii.