Wenyeji Australia waibandua Ufaransa na kutinga nusu fainali ya Kombe la Dunia kwa vipusa

Dismas Otuke
0 Min Read

Wenyeji Australia maarufu kama Matildas wamefuzu kwa nusu fainali ya Kombe la Dunia kwa wanawake kwa mara ya kwanza kufuatia ushindi wa mabao 7-6 dhidi ya Ufaransa kupitia mikwaju ya penalti baada ya sare tasa katika dakika 120.

Australia watachuana na aidha Uingereza au Colombia katika nusu fainali.

Website |  + posts
Share This Article