Watu 13 walifariki Jumamosi baada mshambuliaji wa kujitolea mhanga aliyekuwa na gari lililobeba vilipuzi kuligongesha katika kizuizi cha maafisa wa usalama katikati mwa mji wa Beledweyne.
Shambulizi hilo ni la hivi punde kutekelezwa na wanamgambo.
Watu wengine 20 walijeruhiwa