Wanne wafariki katika ajali ya basi Meru

Dismas Otuke
0 Min Read

Watu wanne wamefariki kwenye ajali ya barabara baada ya basi kubingiria katika daraja la Nithi kwenye barabara kuu ya Meru-Nairobi Jumapili .

Yamkini watu wenginge kadhaa wamejeruhiwa na kukimbizwa katika hospitali kadhaa kupokea matibabu.

Basi hilo la kampuni ya Silver Line ,lilikuwa likisafiri kutoka Maua kaunti ya Meru na lilikuwa na abiria 39 na ajali hiyo ilisababishwa na hitilafu ya kimitambo.

TAGGED:
Share This Article