Wanariadha wa Kenya walioshiriki mashindano ya Riadha ya Dunia mjini Budapest nchini Hungary watarejea nyumbani Jumatatu usiku.
Kenya iliyowakilishwa na wanaraidha 57 ilimaliza katika nafasi ya 5 kwenye jedwali la medali kwa nishani 10, dhahabu 3, fedha 3 na shaba 4.
Wanariadha na maafisa wa kiufundi wa timu ya Kenya watawasili kwa ndege tofauti na nyakati tofauti.