Urusi imetanga maombolezo ya kitaifa huku idadai ya waliofariki kwenye shambulizi la kigaidi jijini Moscow, Ijumaa usiku ikifikia 133.
Wakati wa maombolezo hayo bendera ya taifa itapeperushwa nusu mlingoti, huku tamasha nyingi zikifutaliwa mbali.
Zaidi ya watu wengine 140 walijeruhiwa .
Kundi la Islamic State limekiri kuhusika na shambulizi hilo.