Wakulima zaidi ya 500 wakadiria hasara ya mafuriko Machakos

Dismas Otuke
0 Min Read

Zaidi ya wakulima 500 katika kaunti ya Machakos wanahesabu hasara, baada ya mvua ya mafuriko kuharibu mazao shambani .

Wengi wa wakulima walioathirika ni wale wenye mashamba karibu na mto Athi,na mabwawa yaliyo Mlolongo katika wadi ya Syokimau.

Mazao mengi yalioharibiwa na kusombwa na mafuriko kufuatia mvvua kubwa ni ya mboga na nyanya na,kuku na pia hata mifugo.

TAGGED:
Share This Article