Wakenya wanaoishi ughaibuni walituma nyumbani ongezeko la asilimia 6.4 ya pesa sawa na shilingi bilioni 2.85 mwezi Machi mwaka huu ikilinganishwa na mwezi Februari.
Kwa mjibu wa twakwimu hizo shilingi bilioni 53.2 ikiwa ongezeko la asilimia 5.7 kutoka kiwango cha mwezi Februari.
Katika kipindi cha mwaka mmoja jumla ya shilingi bilioni 571 zilitumwa nyumbani ikilinganishwa na shilingi bilioni 524 mwaka 2022/2023.