Ureno walenga kusahau masaibu ya Wakongo,watakapokabaliana na Uzbekistan

Dismas Otuke
1 Min Read

Ureno watajaribu kuweka kando masaibu ya kwenda sare na DRC katika mechi ya ufunguzi ya Kombe la Dunia wakatakapokabilian na Uzbekistan, Jumanne jioni katika kundi K mjini Houston,Texas.

Ghana walioshinda mechi ya ufunguzi ya kundi L, dhidi ya Panama watachuana na Uingereza ukipenda Three Lions, waliofungua kwa ushindi dhidi ya Croatia,kuanzia saa tano usiku.

Panama na Croatia walioshindwa mechi za ufunguzi kundini L, wakamenyana kuanzia saa saba,kabla ya Colombia na DRC kumaliza udhia katika kundi K.

Share This Article