Ugonjwa wa selimundu: Serikali ya Migori kuanzisha sheria kukabiliana nao

Martin Mwanje
0 Min Read

Serikali ya kaunti ya Migori, kupitia Idara ya Huduma za Afya, inapanga kuanzisha sheria ambayo itawataka wanandoa kupimwa kwanza ugonjwa wa selimundu, yaani sickle cell anaemia, kabla ya kutafuta watoto. 

Mpango huo unalenga kupunguza kiwango cha ugonjwa huo katika kaunti hiyo.

Kaunti ya Migori ni miongoni mwa kaunti zilizo na visa vingi vya ugonjwa wa selimundu.

 

 

Share This Article