Uchumi na Biashara: KRA yakosa kuafiki malengo yake ya faida

radiotaifa
0 Min Read

Mamlaka ya ukusanyaji ushuru nchini, KRA ilikosa kuafiki malengo yake ya faida ya kiwango cha ushuru wa ziada katika kipindi cha miezi saba iliyopita mwaka uliokamilika mwezi januari mwaka wa 2024.

https://art19.com/shows/mwenge-wa-biashara/episodes/9f9225ed-c0cf-48e8-9d19-beb565de9923

Share This Article