Kampuni za uzalishaji na usambazaji bidhaa humu nchini zinatarajiwa kupanua biashara zake barani Afrika baada ya kuzinduliwa kwa mtandao, utakaowawezesha kuuza bidhaa zao katika mataifa mbali mbali barani Afrika.
https://art19.com/shows/mwenge-wa-biashara/episodes/ed7e8141-1abc-4808-9ef2-ee1b68eb0c84