Muungano wa mabenki umepinga pendekezo hilo mbele ya majaji Olga Sewe, Gregory Mutai, na Kizito Magare mjini Mombasa kwa kile wanadai uhusiano wa mteja na benki inayotoa mkopo ni mkataba wa watu wawili na mteja ana ufahamu vema wa kinachoweza kutukia iwapo atafeli kulipia mkopo wake kikamilifu.
https://art19.com/shows/mwenge-wa-biashara/episodes/908a4c91-9a6f-4879-8cb5-37fd0deb8d90