Trump aagiza kufungiwa kwa meli zote kutoka na kuingia Hormuz, baada ya mazungumzo kutibuka

Dismas Otuke
1 Min Read
Donald Trump - Rais wa Marekani

Rais wa Marekani Donald Trump ameliagiza jeshi lake la majini kufunga na kuzuia kuingia au kutoka kwa meli katika eneo la Hormuz nchini Iran, baada ya kutubuka kwa mazungumzo.

Haya yanajiri baada ya Spika wa bunge la Iran Mohammad ⁠Baqer Ghalibaf kuilamu Marekani, kwa kuchangia kutibuka kwa mazungumzo hayo  ya kusitisha mapigano nchini Pakistan .

Makamu Rais wa Marekani JD Vance  amesema mazungumzo hayo yalikwama bila maafikiano .

 

Share This Article