Tiwa Savage kuporomosha shoo Uhuru Gardens Jumamosi

Dismas Otuke
1 Min Read

Mwanamuziki matata kutoka nchini Nigeria Tiwatope Omolara Savage almaarufu Tiwa Savage, ataporomoromosha shoo babukubwa Jumamosi katika eneo la Uhuru Gardens.

Savage aliwasili nchini Ijumaa tayari kwa tamasha hiyo maarufu kama The Walker Town concert .

Savage aliye na umri wa miaka 43 ana umaarufu kutokana na vibao vyake kama vile All Over.

Msanii wa congo Fally Ipupa pia atatumbuiza kwenye Concert hiyo,akirejea Kenya kwa mara ya kwanza baada ya miaka mitano.

Share This Article