Tanzania yampiga teke kocha Amrouche kutoka AFCON

Dismas Otuke
1 Min Read

Shirikisho la soka nchini Tanzania limemfurusha kocha mkuu wa timu ya Taifa Stars Adel Amrouche aliye na timu  inayoshiriki michuano ya AFCON nchini Ivory Coast Adel Amrokwa utundu.

Hii inafuatia hatua ya CAF kumpiga marufuku kocha huyo kwa mechi nane, baada ya kutoa madai ya kejeli dhidi ya Morocco.

Kocha huyo aliye na umri wa miaka 55 alinukuliwa akisema kuwa taifa la Morocco,  lina ushawishi mkubwa kuhusu upangaji matokeo ya mechi.

Hemed  Morocco  ameteuliwa kuwa kaimu kocha na atassidiwa na Juma Mgunda kwa mechi zijazo za Taifa Stars  dhidi ya Zambia na na DR  Congi

Share This Article