Tanzania watwaa kombe la CECAFA kwa wasichana chini ya miaka 18

Dismas Otuke
0 Min Read

Wenyeji Tanzania wametwaa kombe CECAFA kwa wasichana wasiozidi umri wa miaka 18 baada ya kuwalaza Uganda bao moja bila kwenye mechi ya fainali iliyosakatwa Ijumaa jioni ugani Azam Sports Complex.

Winfrida Gerald alipachika bao la pekee na la ushindi kunako dakika ya 42 na kudumu hadi kipenga cha mwisho.

Burundi ilinyakua nshani ya shaba baada ya kuititiga Zanzibar mabao 4 kwa bila.

Share This Article
Leave a Comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *