Takwimu za Kombe la Dunia kuelekea fainali

Fainali hiyo itakuwa mechi ya 104 katika kipute cha mwaka huu huku jumla ya mabao 307, yakifungwa katika michuano 103,ikiwa wastani wa magoli 2.98 kwa kila mechi.

Dismas Otuke
1 Min Read

Fainali ya Kombe la Dunia makala ya 23 itsakatwa Jumapili saa nne usiku katika uwanja wa Metlife mjini New York, kati ya mabingwa watetezi Argentina na Uhispania.

Fainali hiyo itakuwa mechi ya 104 katika kipute cha mwaka huu huku jumla ya mabao 307, yakifungwa katika michuano 103,ikiwa wastani wa magoli 2.98 kwa kila mechi.

Kylian Mbape ndiye mfungaji bora kwa magoli 10,mawili zaidi ya Lionel Messi wa Argentina,huku Jude Bellingham akiwa na magoli 7,moja zaidi ya Harry Kane wa Uingereza na Ousmane Dembele wa Ufaransa.

Share This Article