Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mshindi wa nishani ya fedha Noah Kibet ataongoza kikosi cha wanariadha sita watakaoiwakilisha Kenya kwenye mashindano ya dunia ya viwanja vya ndani yatakayoandaliwa kati ya tarehe 20 na 22 mwezi…