Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Shericka Jackson wa Jamaica na Noah Lyles wa Marekani wamedhihirisha umaahiri wao baada ya kuhifadhi mataji ya dunia ya mita 200 katika siku ya saba ya mashindano yanayoendelea mjini Budapest,Hungary …