Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Ukumbi wa Mikutano ya Kimataifa wa Bomas utakapokamilika, utaiweka Nairobi kama kitovu kikuu cha mikutano mikuu na maonyesho barani Afrika, hayo ni kwa mujibu wa Rais William Ruto. Akizungumza alipokagua…