Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Mamlaka zimethibitisha kwamba wanafunzi 16 walifariki kwenye moto huo uliotokea usiku wa manane huku wengine 7 kati ya 79 waliojeruhiwa wakiwa bado wamelazwa hospitalini.