Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Naibu Jaji Mkuu Philomena Mwilu ametoa wito kwa majaji wa Mahakama Kuu kuboresha dhamira yao ya kulinda wanawake na watoto walio hatarini. Amesema hilo linaweza kufikiwa kupitia hatua zinazochukuliwa na…