Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Wafugaji wa ng'ombe wa maziwa katika kaunti ya Kiambu wametoa wito kwa serikali kuu na serikali za kaunti kuhakikisha wanapata malisho bora na mbegu bora ili kuboresha uzalishaji wa maziwa.…