Welcome to the official Kenya Broadcasting Corporation (KBC) News YouTube channel.
Serikali imeahidi kutoa fursa kwa wafanyabiashara wa kigeni kusajili biashara zao na kupata vibali vinavyohitajika katika kipindi cha siku 90 ili kuhakikisha wanatii sheria zilizowekwa za Kenya.